Luke Music Factory inakuletea Disco kabambe la  mkesha wa Thanksgiving siku ya Jumatano Novemba 27,2013 kwenye kiota cha maraha pendwa SESKA LOUNGE kuanzia saa 3 usiku (9pm) mpaka Majogoo.
Kama wewe ni kijana wa zamani unajua Dj Luke na mambo yake ya enzi hizo na kama wewe ni kijana wa kileo wala usikonde kurusha mikono, kutikisa kichwa na kujiachichia ndio utakua mtindo wako KARIBU Seska Lounge na wewe uwe mmoja ya wale watakaoanza THANKSGIVING ya mwaka huu kwa staili ya pekee

Anuani ya Seska ni
2017 Veirs Mill Rd
Rockville, MD

KaRiBu uburudike na Ubomba wa muziki wa Dj Luke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...