Timu nzima ya marubani na wahudumu wa ndege katika safari ya kwanza ya fastjet kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya, ikiongozwa na Ali Hammoud (wa kwanza kulia)
Abiria wakifanya ukaguzi wa tiketi zao kabla ya kuelekea kwenye ndege
 Abiria wakipanda kwenye ndege.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hata hapa bado! watu wanasongamana ili hali kila mtu anajua atakaa wapi! Ndio maana walisema mtoto mleavyo! tumezoeana kusukumana kwenye mabasi foleni za umeme majia afya na kila kitu!

    ReplyDelete
  2. Duh! hamna cha kuchungulia Mlima Kitonga tena?!! Safi sana. Mughonile Katumba Stars F.C?? Safi sana Fast Jet, maendeleo kwa kwenda Mbeya tu.

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza hicho cha mtoto.
    Majuzi nimepanda ndege ya Ethiopia airline,nikakubali ule msemo wa "Ukistaajabu ya Musa utaona ya Frauni"

    Mara tulivyoambiwa tuelekee ndani ya ndege, yaliyotokea sikuamini,watu wanakimbia utafikiri kuna "Siti za kusimama"

    Hapo ndio tukubali Tanzania bado sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eeeeh hii kali kwani Ethiopian airways haitoagi namba.

      Yaani hii kali, labda walikuwa wanawahi as wengine mtaachwa mkiwa mwishoni.

      Hata hapo juu sijui hawatoi seat namba maana ona hata ngazi itabonyea sha kama haina uzito mwingi.

      Delete
  4. Hahahahah Wadau wa 2 na 4.

    Utafikiri wanagombea siti katika Mabasi ya Daladala ya Mbagala?

    Ama kweli Bongo ni Jambaland!

    Watanzania wana kale ka ugonjwa ka kila mmoja kupenda kukaa Siti za Madirishani !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...