Anatafutwa Co-Presenter/Host (Female) atakasaidiana na main Main Host/Presenter katika Talk Show inayotarajiwa kuanza kurushwa katika Luninga hivi karibuni kila wiki kwa saa moja.

Sifa:

  1. Awe anajua vema Kiingereza na Kiswahili
  2. Anayejiamini
  3. Awe "anatazamika" kwa viewers wa TV na waalikwa katika kipindi (Presentable). Ukipenda unaweza kutuma picha full size na passport size.
  4. Anayeweza kuongea na kuendesha kipindi kwa umahiri wa hali ya juu
  5. Anayeweza kujifunza; kuchambua issues kwa haraka na kuziwakilisha ina a Motivational Way
  6. Kipaji cha kuleta positive au negative emotions wakati wa kuendesha kipindi


Kwa aliye na sifa anaweza kutuma CV na kuniandikia: 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...