Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hapo kweli Rais Jakaya Kikwete ametoa darasa safi kwa hao wenzetu, nimeifurahia kabisa na imejaa ukweli, uhalisia na uzalendo!kikubwa ni Mh. Rais kuongea nao katika hali ya upendo na ukaribu wa hali ya juu, huyu ndiye rais bwana!!! Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki rais Jakaya Kikwete.

    ReplyDelete
  2. Mawaidha mazuri sana hapa..

    ReplyDelete
  3. Hotuba nzuri sana na tunamshukuru mheshimiwa rais kwa ushauri mzuri wa kujenga nyumbani...kimoja ambacho amekiongea ni muhimu sana pia ni kuhusu uraia wa nchi mbili...kiukweli mie hilo naona Tanzania kwa sasa hilo sio la muhimu ila ule utaratibu aliosema China waliutumia kwa raia wao wazawa wanaoishi nje ndo haswa ungefanyiwa kazi...najua wengi wanaotaka uraia wa nchi mbili ni wale wanaoshabikia siasa huku ughaibuni huku wakiwa na ndoto za kuja kutupiwa chepuo la uongozi/vyeo huko bongo lakini kiukweli huo utaratibu aliongelea rais ndo mzuri wa kuwasaidia watz wazawa wenye uraia wa nje kama walivyofanya China...lakini hilo la uraia wa nchi mbili kuhalalishwa mmmh sioni kama ni kitu kizuri kwa nchi yetu kwa wakati huu tunaoenda wa gesi na mafuta.
    mdau wa UK.

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Rais umeongea mambo ya muhimu mnoo! La kujenga nyumbani ndio iwe kitu cha kwanz akwa yoyote aliyahamia nje. Kingine ni huyo aliyesema mahari imepitwa na wakati, kwa kweli ametia AIBU KUBWA SANA SANA, mana mamabo ya mahari ya kifamilia zaidi, heri akaelimishe ukoo wake wasiwe wanaoza watoto wa kike kwao kwa mahari mana kutokana na kuchanyanikiwa kwake! Kwani hajui kuwa kuna familia haizchukui mahari tz hapa? asihusishe serikali kwenye mahari, yani kwa kifupi aliropoka, jamani kuna vitu vingi vya muhimu vya kuongea na sio mahari. Huko ni kuchanganyikiwa kama alivyosema Rais. Maswali mengine jamani, pamoja na exposure yote nje unauliza pumba! Hope umejifunza na hutarudia tena...

    ReplyDelete
  5. Wana Diaspora ninachoenda kukizungumza sasa naamini wote mtakubaliana nacho, Viongozi wetu wamekuwa mstari wa mbele kuwasisitiza DIASPORA kuwekeza nyumbani, mara sijui tuwalete wawekezaji, mara sijui kujenga nyumbani sasa kweli hivi vyote vitawezekanaje endapo hatutotambuliwa?! Unakuja bongo unapewa Visa eti employment prohibited huu si ujinga huu,tunakuja na tunatoa ajira ndigondogo sana huko bongo haswa kwenye sekta ya ujenzi, Jamani tuache unafiki nyie kama mnatuona sie hatufai semeni tu kwani mmelazimishwa kutupa huo Uraia wa Nchi mbili?! Mbona mnapuliza huku mnang'ata? Minawashauri achaneni na sisi maisha ni popote hili jambo kama ni gumu isiwe tapu wala nini maisha yenyewe mafupi, msituchanganyee. Mie sioni ugumu wowote hapa kama huo uraia ni suala gumu basi tufutieni Viza tuje tuwape hajira, tuwahonge wake zenu nakadharika. Watanzania suala la kuamua siku moja tunaamua kwa miaka kumi je huu ni uungwana kweli, nauliza huu ni uungwana?!

    ReplyDelete
  6. MATATIZO YA WASOMI SO CALLED PROFESSOR NDIOO HAYOOO WANAJALI NAFSI ZAOO ..KAMA MSOMI KUTAMKAA HAYOO NIKUONYESHA JINSI GANI SOO IGNORANT NA NCHI KUTOKUENDELEAA..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...