Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Mbona umeandika TAREHE 3 SUNDAY na wakati leo ni TAREHE 2 SATURDAY...haya kaka rekebisha mitambo hapo...

    ReplyDelete
  2. That is good Y.E, well said.

    ReplyDelete
  3. Sina nia ya kuanzisha umbea hapa, huu ni mkutano wa kimataifa, vipi mbona sioni majirani zetu

    ReplyDelete
  4. Say Inshallah!


    Ahhh masihara hayo Ankali kesho mbali sana tayari umeposti Habari za kesho Sunday November 03, 2013?

    ReplyDelete
  5. brilliant Mr President. watu wengi hawajui utamu utakaoiachia nchi yako hasa kwa sababu matunda yatakuja baadae tofauti na baadhi ya watangulizi wako ambao mazuri yalionekana wakiwa ikulu na bomu kulipuka nyuma yao i always admire your steps ingawa cabinet yako ndo bomu la kurushwa. umefanya mageuzi mengi Tanzania na tutayaona ukishapumzika. Mungu akuzidishie baba.

    Mdau UK

    SINA CHAMA

    ReplyDelete
  6. Kikwete kama yuko serious, amteue huyu Rakesh Rajani kuwa mbunge na kisha ampe uwaziri wa Elimu ..... this guy can deliver!

    ReplyDelete
  7. Nakupongeza sana Mh. Rais Jakaya Kikwete and your 'Country Man' Rakesh Rajani. Kwa kweli mmeelezea vizuri na kufahamika vyema kwa kadri mtangazaji Bw. Rageh Omaar alivyokuwa akiuliza au kutaka kufafanuwa zaidi palipostahili. Hongereni sana kwa uwakilishi wenu mzuri katika Mkutano huo wa OGP (Open Government Partnership).

    ReplyDelete
  8. Natamani tungeunda serikali ya mseto ya mpito ikiongozwa na JK ili kumwezesha kuwa na strong government ambayo itamwezesha kutekeleza mazuri anayokusudia kufanya kwa nchi yetu. JK ana vision ya nchi kwanza chama baadaye ukilinganisha na waliomtangulia, mwenye macho haambiwi tazama,bahati mbaya muda aliobaki nao ni mfupi mno.Nevertheless, utakumbukwa kwa katiba mpya yenye maslahi ya taifa na mambo mengine mengi mazuri uliyofanya.Bravo JK.

    ReplyDelete
  9. jinsi muda unavyozidi kwenda,nimeona umuhimu wa Kikwete.Naamni matunda yatakuwa mazuri muda mfupi tu ujao.
    Nachomwomba tu,aache katiba nzuri kwa ajili ya wananchi tu.Mengine aliyofanya yatakuja powa.
    all the best mr president.
    mbise!!

    ReplyDelete
  10. Daima tutakukubari Mr President!

    ReplyDelete
  11. 1.Open Governance
    2.E-gorvernment
    3.New constitution
    3.Media regislation
    4.International relations
    5.Freedom of speech
    6.Big results now
    7.Mkongo nk

    Ni mambo machache tu kwa kuanzia ambayo yananivutia kuuona mchango wa JK wakati wa uongozi wake.Kwa ufupi yana impact kubwa sana na ni chachu ya maendeleo.Wadau wanaokaa nje wanajua ni jinsi gani yanavyorahisisha maisha.Namfagilia mheshimiwa Raisi kwa sababu analeta maendeleo yanayoendana na mabadiriko ya dunia.Mchango wake ni mkubwa mno na si kazi rahisi kwa kipindi chake matokeo kuonekana ila dhana ya maisha bora utaondoka umeiweka kwenye wakati mzuri ila chondechonde tutafutieni kiongozi anaeendana na mabadiliko ya dunia na mwenye vision. waafrika wantaka kiongozi anaeleta pesa mifukoni. wazungu wanaandaa kila kitu kwa kuangalia mbele sana ila uongozi wako ni wa mfano.You deserve Credit.Una utaifa sana JK na unapenda nchi yako.

    Mdau tena UK
    Sina chama

    ReplyDelete
  12. Mimi pia JK ninakukubari hata kurikoni maraisi wa East Africa hasa Rais KGM ikifanya ziara ya Nje hana Amani kabisa Mara anarushiwa mayai,mawe,vyupa vya maji n.k Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.

    ReplyDelete
  13. Please mmesahau kitu kimoja nacho ni kuwapimia ardhi wafugaji na wakulima vijijini na wape hati miliki baadaye iliyobaki mwauzie wawekezaji na itasaidia hata vijana hawatakimbilia mijini maana wana ardhi yao akifanyahivyo kikwete atakuwa kweli wa kukumbukwa na anstahili kupata tunzo ya mo ibrahim

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...