Wanamitindo 20 waliochaguliwa katika usaili wa Tanzania Top Model  uliofanyika  hivi karibuni, wataingia leo katika Hotel ya JB Belmont kuanza kambi ya mazoezi itakayo chukua mwezi mzima. Mashindano ya Tanzania Top Model yatafanyika kwa mara ya kwanza nchini  7/12/2013 yakiwa ni moja ya shamra shamra za kusheherekea miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania.

Wanamitindo wanaotazamiwa kuingia kwenye kambi ya Tanzania Top Model   leo  saa 7 Mchana ni
1.    Neema            Charles
2.    Christiner        Christopher
3.    Judith               Materegi
4.    Mariam           Joseph
5.    Zulfar              Bundalla
6.    Darline            Mmari
7.    Nuru                Mfaume
8.    Lorrain            Clement
9.    Irene                Kasanda
10.  Neema            Prosper
11.  Neema            Selei
12.  Esther              Frederick
13.  Gladdys           Mollel
14.  Eva Mary         Gamba
15.  Gaudencia       Simine
16.  Esther              Albert
17.  Neema            Mruma
18.  Upendo            Lema
19.  Mariam           Bapii
20.  Magreth          Kapele

Tunategemea kuwa Wapiga picha na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya  habari watahudhuria sherehe za Models hao kuingia katika Hotel ya JB Belmont .

Imetolewa na

Jackson Kalikumtima
Executive Chairman

TANZANIA TOP MODEL AGENCY LTD
DAR ES SALAAM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Emancipate yourselves from mental slavery, none but ourselves can free our minds, there is no fear for atomic energy, cause none of them can stop the time........
    Jina la kwanza la kimeshenari na la pili kadhalika, jina la kwanza la kizuoini na la pili vivyo hivyo, wajameni alau jina la pili liwe la kilugha, la nyumbani kwenu kabisa kabisa, kwa mababu na mabibi, kwani majina haya ya kiasili yana beba maana nzito.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...