Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nyinyi watu mko dunia ya kwanza lakini majadiliano yenu ni ya dunia ya tatu,mnataka kikwete akaongee kiswahili ndani ya oval office tutapata misaada kweli,umeme utawaka ubungo,mabarabara yatakuwa hayajengwi sisi ni ombaomba bajeti yetu bado inapangwa kwa kutegemea misaada,mtake au msitake kiingereza ni mhimu kwa mtanzania.tujifunzeni mandalini mchina kaja juu kiuchumi.
ReplyDeleteRaisi wa Iran anafahamu kiingereza kwani amesoma PhD yake Uingereza na ameandika repoti kwa kiingereza.
ReplyDeleteLugha ya Taifa ya Tanzania ni Kiswangilish kwa waliosoma na Kiswahili kwa waliokuwa na elimu ya lazima. UK lugha ya Taifa ni English (Strong English) kwa wenye elimu kubwa na (Weak English) kwa wenye elimu ya lazima.
ReplyDeleteMdau UK