Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Pamoja na kuwa anachosema Kinana kina umuhimu, lakini ninachojiuliza kwanini Waziri wa Fedha akajieleze kwenye Kamati Kuu ya CCM wakati waliokopwa ni wananchi wote, wanachama wa CCM, wanachama wa vyama vingine na wasio wanachama?

    Kwa maoni yangu, Kinana angemwagiza Waziri wa Fedha awaambie watanzania kuhusu hoja hizo nne anazotaka akajibu mbele ya Kamati Kuu ya CCM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...