Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama hicho mara baada ya kuwasili mpakani mwa Wilaya ya Kyela na Rungwe mapema leo asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa ukiwasili wilayani Rugwe kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa Mbeya.pichani shoto sambamba ni Katibu wa NEC,Itikasi na Uenezi ,Nape Nnauye akisalimiana na wanachama wa CCM.
Kada Maarufu wa CCM,Bwa. Richard kasesela akisalimiana na Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro mara baada ya kuwasili mpakani mwa Wilaya ya Kyela na Rungwe mapema leo asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa ukiwasili wilayani Rugwe kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa Mbeya.pichani shoto sambamba ni Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye akisalimiana na wanachama wa CCM.
"Karibu sana nyumbani Kaka Nape"...Kada Maarufu wa CCM,Bwa. Richard kasesela akisalimiana  Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mmmh mi naona kasi ya CCM itawatoa wapinzani damu puani.

    ReplyDelete
  2. Bibo,
    Lazima wakupe ubunge this time. I see you so deep in politics lakini watch out mizengwe ya siasa its part of the package.

    ReplyDelete
  3. M4C YA CHADEM NA KASI YAO IMEWAAMSHA CCM USINGIZINI. FAIDA ITAKUWA KWA WANANCHI. NDIO MATUNDA YA VYAMA VINGI!

    ReplyDelete
  4. Kila nikiangalia vijana wanasiasa ktk chama tawala ambao ndio wanatayarishwa kushika madaraka, sioni dalili yoyote ya nchi hii kubadilika kuelekea maendeleo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...