
Luteni Rajabu Ahmed Mlima Enzi ya Uhai wake
Familia ya Mlima inawataarifu kisomo cha mtoto wao Luteni Rajabu Ahemed Mlima(mdogo wake Mayor Mlima anayeishi DMV) kitakachofanyika siku ya Jumamosi November 2, 2013 Wheaton Maryland kuanzia saa 11 jioni ukiisoma taarifa hii tafadhali mueleze na jirani yako.
Address ya kisomo ni
11901 Claridge Rd,
Wheaton, MD 20902
Kufika kwako ndio mafanikio ya kisomo hiki
KARIBUNI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...