BROWNE CHARLES NINDI

Leo umetimiza miaka 21 tangu ulipotutoka tarehe 13.11.1992.
Baba ulitutoka wakati tukiwa tunakuhitaji sana kwani wewe ndiye ulikuwa mhimili wetu.

Tunakukumbuka katika kila dakika ya maisha yetu.
Unakumbukwa sana na wanao Anna, Patrick na James, mama yako(Magati), dada yako pamoja na kaka zako bila kuwasahau wajukuu zako Costa na Evelyn, ndugu, jamaa , marafiki pamoja na majirani zako.
Tunazidi kukuombea pumziko jema.

Utaendelea kuwa mioyoni mwetu daima.

Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe,amen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...