Home
Unlabelled
LIBENEKE LA BENKI YA CRDB LA ULIPO TUPO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
CRDB:
ReplyDeleteMmejitahidi sana isipokuwa mnahitajika kuboresha zaidi Huduma zenu hasa kwenye RECEPTION au USO wa biashara yenu ambayo ni Customer Services na nyinginezo.
Kama mjuavyo Mwanamke mrembo huvutia kwa sura yake usoni kabla mtu muhusika hajaingia mkenge kuja kubaini jinsi kwa undani alivyo.
Mjitahidi USONI mvutie na pia KWA NDANI MUWE MKO VIZURI na sio mjenge jitihada za kuvutia usoni na ndani muwe mmechoka, ''ISIWE UZURI WA MKAKASI NDANI GOME LA MTI''
Muwaweke Wahudumu wa USONI yaani CUSTOMER SERVICES wawe na nyuso za Karibu na kuacha dharau kwa Wateja kiasi kwamba hata Mteja akiingia akiwa hana hata Senti Moja mfukoni Wahudumu wa CRDB Bank wamchukulie kama ni Bilionea ama Tajiri, Mfalme ama Malkia!
CRDB Bank iliyo juu nchini kwa sifa yenu mnatakiwa zaidi ya hiyo CUSTOMER SERVICES pia mboreshe mambo haya:
1.CUSTOMER PRIVACY
Muwekeze zaidi kwenye INTELLIGENT IT SOFTWARES ili kubaini LOGS ktk system endapo mtumiaji anaifikia Account yake ama Watumishi wa Benki wakiwa kazini. kwa kuwa Intelligent Software huweza kubaini endapo kuna nyendo za Wafanyakazi wasio waaminifu wa Benki kama watahujumu ktk Akaunti ya Mteja wakishirikiana na Wahalifu wa Mitandao.
Kwa kuwa record inakaa ktk IT system ni rahisi kutambulika nani alihusika ktk kuifikia na kuihujumu Akaunti ya Mteja badala ya kusubiri muda wa Auditing/ Ukaguzi wa Mahesabu.
Dunia imeshuhudia sehemu ambako Benki hazikuweka Software zenye akili Watumishi wa Benki wakihujumu kwa uhsirikiano na Wahalifu.
2.ACTIVE ATM NETWORK
Mnatakiwa mboreshe Muundo wenu wa ATM hasa kuweka DEPOSIT kwa kuwa mara nyingi Wateja wakitumia njia hii wanakuta network haifanyi kazi.
Pia muangalie uwezekano wa kuwepo DEPOSIT facilities kwa kila ATM ktk CRDB Bank kwa kuwa ushindani unakuwa sana ktk eneo letu la Afrika ya Mashariki, Mfano nchini Rwanda Bank of Kigali ATM zao zinapokea DEPOSIT hadi ya Fedha za US DOLLARS na EURO, sasa hawa wana Kagame wakiingia Tanzania endapo uhai ukiwepo ktk EAC yetu inayoyumba kwa sasa nadhani CRDB mtapata kipindi kigumu.
Ni vile Wanyarwanda wa Bank of Kigali wenzenu wanajua kutoa Tabasamu la kinafiki la kumvuta Mteja (wanajua kucheka Kitaalamu)inawezekana wakatinga Tanzania kama jinsi ninyi CRDB ilivyotua nchini Burundi.
Mmejitahidi japokuwa mlitakiwa mueleze jinsi ulipo tupo inavyofanya kazi
ReplyDeleteMwanzo mzuri CRDB na maoni ya wadau ni ya kujenga. Yafanyieni kazi na kuendelea kuwa wasikivu kama motto " The Bank that Listens" kuendeleza CRDB kufikia hatua ya juu zaidi.
ReplyDeleteSelina