wahitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam, wakiwa mbele ya mgeni rasmi tayari kwa kutunukiwa shahada zao.
Fatihiya Mohamed (wa pili kushoto) akiwa tayari kwa kutunukiwa shahada ya uzamili ya biashara na uongozi.
wahitimu wakisubiri kusogea mbele ili kukabidhiwa shahada zao. 
Fatihiya na wahitimu wenzake wakisikiliza jambo  wakati wakisubiri kutunukiwa shahada zao za uzamili ya biashara na uongozi.PICHA NA FRANCIS GODWIN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Three photos, showing the same graduand, as if they were the only ones graduating, kweli hii ni glubu ya jamii au globu ya jamaa? congratulations to all the graduands, mkachape kazi sasa siyo mambo ya kurorosa tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...