Mkuu wa Shule akisoma risala ya shule wakati wa mahafali ya kidato cha nne Mbande sekondari, Kigamboni, Temeke
Mwanafunzi bora akipokea zawadi toka kwa mgeni rasmi
Burudani ya wahitimu
Sehemu ya wahitimu
Mgeni rasmi Mjumbe wa NEC Temeke Ndg.Phares Magesa akitoa nasaha katika mahafali ya Mbande , Mgeni rasmi akitoa wito kwa Jamii yote kuunga mkono jitihada za serikali kuimarisha elimu nchini
HAWA MASISTERS NA BROTHERS AU?
ReplyDeletemdau hapo juu wewe unaonaje kwani mafazas na mamas au?
ReplyDelete