Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam,jana jioni kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na mtoto wake, Peter Mangula, aliyefariki juzi asubuhi katika Hospitali ya Muhimbili. Peter anatarajia kuzikwa kesho Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula, marehemu Peter Mangula, wakati alipofika nyumbani kwa Mwenyekiti huyo Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana jioni kwa jili ya kumpa pole
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phili Mangula, wakati alipofika nyumbani kwa Mwenyekiti huyo Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana jioni kwa jili ya kumpa pole
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Phil Mangula,aliyefiwa na mtoto wake, Peter Mangula
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam,jana jioni kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na mtoto wake, Peter Mangula, aliyefariki juzi asubuhi katika Hospitali ya Muhimbili. Peter anatarajia kuzikwa kesho Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula, marehemu Peter Mangula, wakati alipofika nyumbani kwa Mwenyekiti huyo Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana jioni kwa jili ya kumpa pole. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...