Mama Salma Kikwete akipokewa kwa ngoma wakati alipokuwa anaingia Gangaramaya temple inayotumiwa na watu wa madhehebu ya Budha nchini Sri lanka leo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya vitabu kutoka kwa Kiongozi wa Gangaramaya Temple Van Kirinda Assage.
  Mama Salma Kikwete akifuatana na wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Madola wanaohudhuria mkutano wa Madola mjini Colombo nchini Sri lanka wakipokewa na mwenyeji wao Mama Shiranthi  Rajapakse wakati walipotembelea maonesho ya kazi za mikono  yaliyoko eneo la Janakala Kendraya katika vitongoji vya mji wa Colombo. 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...