Familia
ya Isaack Mruma ikiwa katika ibada maalum ya kumuombea marehemu
iliyofanyika katika Kanisa la KKKT, Usaharika wa Mbezi Beach Dar es
Salaam.
Kutoka
kushoto ni Mama mzazi wa Jerry, Bi Joyce Mruma, Khan Mruma ambaye ni
kaka wa marehemu, baba mzazi wa Jerry, Isaack Mruma na mdogo wake Kelvin
Mruma wakiwa katika ibada hiyo. PICHA ZAIDI FATHER KIDEVU BLOG
Too painful kwa kweli. My heartfelt condolences to the family and let the soul of your beloved son Jerry RIP. Amen
ReplyDeleteRIP Jerry...
ReplyDeleteApumzike kwa amani ya Bwana. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe Amina RIP
ReplyDeleteRIP JERRY, you will be missed.
ReplyDeletesijui ni kwa nini sisi binadamu tumekuwa wanyama kiasi hiki kijana mdogo kama huyu mwenye mwelekeo mzuri,elimu safi mwenye ndoto kumbwa anakatishwa maisha yake kama hivyo? inauma sana.
ReplyDeleteR.I.P jery
ReplyDeleteMungu aipunguzie chungu familia yake na ampumnzuke kwa amani.
ReplyDeletevery painfully....tears on my eyes... RIP Jerry u'll b missed.
ReplyDeleteWorst nightmare for any parent.. Kuondokewa tu na mtoto hata kama aliugua ni jambo zito na linauma sana, ni against usual nature kwani yeye ndie alitakiwa akuzike. lakini Kuondoka katika mazingira ya namna hii mbona hii ni ngumu mno kuamini! Kama mzazi unaamini mtoto wako akifikia age kama hiyo na bahati nzuri akiwa makini na mwenye mwelekeo mzuri, independent-minded na busara kama tulivyoona kwa kijana huyu, mzazi mbona unapata tumaini kubwa na relief kuhusu future ya kijana wako. Tumaini lote kwa wazazi na wanafamilia limezimwa kikatili hivi..Poleni wana familia. Yote mumwachie Mungu tu. Ndiye atayewalipia kwa mateso ambayo mmeyaingia bila kutegemea sasa, pengine for the rest of life. Mungu ampumzishe kwa amani. Amen.
ReplyDeleteSo saddened by this brutal killing of such a full of knowledge,inspirational, dynamic and God loving child of Tanzania. I have repeatedly viewed his interview about Kilimo Yetu and Agribond and I can't comprehend how this can be sooo so final for him. So confident, intelligent and, full of knowledge. I just hope his ideas and the business he started will be a living example of Jerry. They have killed the body but not his ideas. Poleni sana mama, baba na ndugu wote. Mungu ailaze Roho ya Jerry mahali pema peponi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Selina
ReplyDelete