Washiriki wa mashindano ya mbio za mitumbi Wanaume, Mkoa wa Mwanza yanayodhaminiwa na Kampuni ya TBL kupitia Bia ya Balimi wakishindana yaliyofanyika katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Washiriki wa mashindano ya mbio za mitumbi Wanawake, Mkoa wa Mwanza yanayodhaminiwa na Kampuni ya TBL kupitia Bia ya Balimi wakishindana yaliyofanyika katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Mabingwa wa mbio za mitumbwi Wanawake wakiwasili katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza zinazozaminiwa na TBL kupitia Bia ya Balimi mwishoni mwa wiki.
Good Sport...na michezo hii tunaiweza TUKIWEKEZA....Congrats TBL...Blow them up biggger!
ReplyDeletePelekeni na Kojani na Kisiwa Panza Pemba akina mama huwa wanapiga makasia kwa nguvu tu.
ReplyDeleteIla sijui hilo la TBL
Naona Mwanza mko juu kimichezo kweli kweli
ReplyDelete