Home
Unlabelled
Mdau Zacharia Biseko alamba Nondozz yake Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji,Jijini Mbeya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana kwa elimu mlioipata.
ReplyDeleteElimu ni elimu na aliyekuwa nayo elimu si sawa na asiyekuwa nayo,maana waliosoma UK,USA na vihiyo wote wanamaamuzi sawa.
Huwezi kutofautisha waliosoma ulaya na waliosoma ndani ya nchi kwa kuwa wote wanaendeshwa na siasa.
Hivyo elimu kwa watanzania haina nafasi kwenye nchi yetu.
Mbunge haitaji kuwa na elimu, anapewa(anachaguliwa) tu ubunge ,kesho anakuwa mkuu wa wilaya keshokutwa waziri.
Sasa niambie uthamani wa elimu upo wapi?????
Maamuzi ya viongozi wetu hayapo kisomi ni kisiasa kwa sana.
Hata mgao wa umeme,maji nk nk ni siasa.
Wizi wa mabenki,uuzaji unga,meno ya tembo vyote ni siasa.
Sheria hakuna............
Hongera sana Mdau Biseko!
ReplyDeleteItumie Elimu yako ktk njia sahihi, Ajiriwa ama Ujiajiri mwenyewe na sio kuwa Msanii!
Ktk Dini ya Kiislamu pana Surat inasema ''Manadhiru minna Qur'an Shufaa Rahmani Muslimina Il'la hasara''.....MAANA YAKE NI KUWA YEYE MWENYEZI MUNGU AMEILETA KURUANI ILI IWE NI TIBA NA SULUHISHO NA SIO KWA ALIYE ISOMA AMA KUWA MSOMI KUITUMIA KWA KUWAKOMOA WENGINE, ATAKAYE FANYA FIVYO ADHABU KALI ITAMFIKA BAADAYE''
HIVYO NA WEWE NDG. BISEKO ITUMIE ELIMU ULIYOIPATA KWA TIJA NA FAIDA NA SIO KWA KUWATOA DAMU KWA KUWAFANYIA USANII NA KUWAKOMOA WENGINE!!!
Swadaqta !!!
ReplyDeleteSheikh namba Mbili (No.2) hapo juu umeshusha 'Ilmu' (Elimu) ya faida sana kwetu.
Ni sawa tuitumie Elimu kwa faida na Maendeleo nchini na sio Elimu kuwa ndio njia ya kukomeshana na Kukomoana KWA WALISOMA NA WASIO SOMA kama anavyo lalamika Mdau wa kwanza juu!