Kituo cha matibabu ya vidonda vya tumbo Cha Rahabu Ulcers Clinic Centre Cha jijini Dar es Salaam, kimemkabidhi tuzo ya heshima Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa kwa kutambua mchango wake mkubwa katika jamii.Pichani Mkurugenzi Mkuu wa Kituo hicho,Dk. Rahabu Rubago(katikati) akimkabidhi Mh Lowassa tuzo hiyo.Kulia ni Meneja Mkuu wa Kituo hicho Catherine Kahabi.
Home
Unlabelled
Mh. Lowassa akabidhiwa tuzo ya heshima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...