Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hizo pembea hata Zanzibar tunazo miaka karibu miaka 38 sasa.

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo wa mwanzo kabisa, hizo pembea unazojisifia tunazo huko Zanzibar ni dahari hizo zilizopitikia, kiwanja kile cha kufurahishia watoto cha Kariakoo - Zanzibar, hakikuwa kikifanyiwa matengenezo ya mara kwa mara (Renovation) mpaka takriban pembea zote zikafikia kuchakaa kwa kupata 'kutu' (rusting) na khatma yake zote zikawa hazitumiki tena na kiwanja kile kwa sasa hizi mle ndani kimevunjwa vunjwa na mapembea hayo hayapo tean, kuna ujenzi ambao unaendelea sina hakika ni wa kitu gani, ila khabari ya kusema ati tuna mabembea Zanzibar, kama ulivyodai miaka karibu 38 sasa, hilo sahau! Imebakia khadithi tu kwa kizazi kilichopo na kijacho sio kile cha enzi zetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...