Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Heko heko Tanzaniaaaaa. Tunaweza jamani. Tunawashukuru viongozi wetu hasa Rais na waziri Magufuli. Heko sana

    ReplyDelete
  2. nimekwenda hukuti wakubwa wanaendeshwa katika magari makubwa makubwa ya kujapani namna hii.

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri serikali kuboresha barabara nchi nzima.

    ReplyDelete
  4. sipati picha kama shukru kawambwa na mramba kama wange kuwa bado mawaziri wa wizara hii,kama kilwa road iko mjini hapa waliijenga kwa kiwango kile mmmh sijui!!labda wenzangu mnisaidie

    ReplyDelete
  5. hongera raisi wetu kikwete tunakupenda sana kwanini usiongezee miaka kama 30 hivi.mimi nina wasiwasi na huo ukuta wa udongo yakiporomoka hayo itakuwaje tufikishie ujumbe wayafanyie kazi sio mpaka yalete madhara.

    ReplyDelete
  6. Lazima tujenge utamaduni wa kufurahia vitu vyetu wenyewe, napenda sana comments za walionitangulia hapo juu ......kazi nzuri sana hii....najua changamoto za ujenzi wa barabara nchini Tanzania bado ipo....lakini ikiwa kazi nzuri imefanyika hata kama ni kidogo lazima tuipongeze serikali kupitia wizara husika & viongozi wake....Dr. JP. Magufuli & others...

    ReplyDelete
  7. Hongera sana kwa viongozi wahusika kwani kazi tunaiona.

    ReplyDelete
  8. Tuache Siasa za Unafiki:

    Kikwete amejenga nchi tazameni mambo hayo.

    Hivi Kusini walifikiri miujiza kama huu kutokea?

    Nimeonge na watu wa Kigoma wanasema kamwe hawata msahau Mhe. Raisi Kikwete baadaya ya kuwategulia Kitendawili cha miaka ndenda miaka rudi cha Bonde la Mto Malagarasi ambalo kwa sasa linapitika kwa barabara ya lami na madaraja hadi Kigoma!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...