Meza Kuu wakati wa Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Ushirikiano baina ya Nchi za Afrika na Kiarabu {Afro Arab Summit} ulioanza tarehe 14 Novemba, 2013 nchini Kuwait
Mwenyekiti wa Mkutano wa Maafisa Waandamizi ambayre pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait akitoa hotuba ya ufunguzi. Alisisitiza umuhimu wa nchi za Afrika na Kiarabu kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi,hususan katika uwekezaji na biashara
Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania, Bw. Uledi Juma Musa, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara akisikiliza kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa mkutano

Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia kwa makini mkutano. kutoka kulia, Mhe. Balozi Simba Yahya, Mkurugnzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, anayefuata, Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia ambaye pia anashughulikia masuala ya Afro Arab na Mhe. Abdillah Omar, Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia ambaye anawakilisha pia Kuwait na Qatar.
Sehemu ya ujumbe katika ukumbi wa mkutano

Baadhi ya bendera katika ukumbi wa mkutano. 
Picha na Ally Kondo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...