Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Hifadhi ya Mazingira,Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais,Mheshimiwa Charles Kitwanga akizindua kitabu cha mpango kazi wa taifa wa hifadhi ya mazingira.
Mkurugenzi wa mazingira ofisi ya makamu wa Rais Dr. Julius Ningu akiongea wakati wa uzinduzi wa mpango kazi wa taifa wa hifadhi ya mazingira.
Wadau wa mazingira wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Charles Kitwanga.
Mgeni Rasmi Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Charles Kitwanga akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi wa mpango kazi wa taifa wa hifadhi ya mazingira.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...