Habari njema sana kwa watu wanao sumbuliwa na magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya.
Upendo & Furaha Ministry ni huduma ya msaada wa matibabu kwa watu wanao sumbuliwa na magonjwa & matatizo mbalimbali ya kiafya kwa njia ya dawa za mimea na vyakula lishe. tunawasaidia wagonjwa na watu wanao kabiliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kupata tiba asilia ya matatizo yanayo wakabili kwa gharama nafuu sana ambayo ni sawa na bure kabisa.
baadhi ya magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo tunazo dawa zake ni pamoja na :
1. vidonda vya tumbo, uvimbe wa tumboni kwa wanawake ( fibroid ), matatizo ya uzazi kwa wanawake na wanaume, ukosefu wa nguvu za kiume , ukosefu wa ashkhi ya tendo la ndoa kwa wanawake, tatizo la uzito, unene na vitambi, magonjwa yote ya ngozi, harufu mbaya ya kinywa, magonjwa ya wanawake, magonjwa ya watoto nakadhalika.
Tunapatikana jijini dar es salaam. wasiliana nasi kwa simu :0784406508, au tuandikie :upendonafurahatz@gmail.com . kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tembelea : http://www.upendonafuraha.blogspot.com


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...