Jumuiya ya watanzania  wa Leeds tunasikitika kutangaza habari ya msiba wa dada yetu Mrs Maua Mpankuli (pichani)  uliotokea jana usiku tarehe 1 Novemba 2013 hapa Leeds, United Kingdom.

Msiba utakuwa nyumbani kwake:
8 Beech Crescent,
Leeds,
LS9 6SQ
Marehemu ameacha mume na watoto wanne. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu toka UK kwenda Tanzania kwa mazishi inafanywa.
Jumuiya ya watanzania wa Leeds na UK kwa ujumla mnaombwa mchango wa kufanikisha shughuli za kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi. Kwa wale watakaopenda kuwasilisha michango ya pesa kusaidia shughuli hii  wanaweza kutuma kwenye akaunti za mume na binti wa marehemu.

Name: Martin Mpankuli
Bank: Barclays
A/C No.: 10927333
Sort Code: 204842
Swift code:

Name: Gift Angela Hamisi
Bank: Lloyds
A/C No.: 20044160
Sort Code: 771410

Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Peter Timakela kwa simu 07402555424

Thomas Kiwalaka  0752 64 99312

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Lala salama dada Mwenyezi Mungu ni Mwema kwetu sote tunaamini uko pahala pema zaidi.
    Lala Salama dada

    ReplyDelete
  2. one of the strongest women's gone....you'll deeply be missed...tutakukumbuka sana aunt maua, sitasahau ucheshi wako

    ReplyDelete
  3. Poleni sana kwa msiba huu mzito familia yote ya marehemu na wana Leeds wote.
    R.I.P Dada yetu..tulikupenda bali Mungu kakupenda zaidi.

    ReplyDelete
  4. Pumzika kwa Amani..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...