Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Ng'wanang'walu (kushoto) akimkabidhi tuzo maalum, Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Kamanda wa umoja huo, Abbas Mtemvu kwa ajili ya kumpongeza kwa uteuzi huo pamoja na kuchangia kwa kiasi kikubwa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Chipukizi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam juzi.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi Mkoa wa Dar es Salaam, wakipiga makofi walipokuwa wakimk wakimkaribisha mgeni rasmi Abbas Mtemvu kufungua mkutano huo wa uchaguzi
Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha OTT wakitumbuiza wakati wa mkutano huo.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...