Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya Bongo Flava, Mwana FA leo Jumatatu Novemba 18, 2013 alonga na Vijimambo aelezea historia yake kwa ufupi na kwanini yupo Marekani je yeye ni mfuasi wa Freemason? Je anamchumba? na kama anaye mchumba wake ni nani na lini wataaowa? kati ya Ali Kiba na Diamond nani anamkubali na mengene mengi MSIKILIZE
Home
Unlabelled
MWANA FA ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


FA nimemkubali, nimependa alivyo kuwa anajibu maswali, inaonyesha uko mavu. Kuna wasanii (sita wataja jina leo) inabidi wajifunze toka kwake.
ReplyDelete