We have just received news that Dr. Malick A. Juma who is the Executive Director at the Ministry of Health in Zanzibar has gone missing. 
Dr. Malick was in Nairobi attending a meeting and was supposed to be back in the country today. Efforts have been made to reach our Embassy in Nairobi to assist in knowing the whereabout of Dr. Malick. 
On that same note the Management at the Hotel where he was staying do not have any solid leads of his whereabouts and now there are  searching his room to see if he left behind any of his belongings... 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mm naona sasa wakenya wana ajenda mbaya na raia wa tanzania,,na kama nikweli amekua missing basi tunahitaji apatikane akiwa mzima wa afya lasivyo lazima tupewe maelezo ya kutosha why amekua missing na kwanini watanzania wanafanyiwa vitendo kama hivyo?,,lasivyo tunaiomba serikali yetu ya Tanzania ifupishe mahusiano yetu na wao coz tumechoka na vitendo vyao,

    ReplyDelete
  2. point mdau

    ReplyDelete
  3. Again another Tanzanian gone missing in Kenya? Forgive my ignorance pple but do we hear news if other nationalitiez gone missing in Kenya including Kenyans themselves? Just checking!...Before we make any conclusion manake naogopa mbona patachimbika!...

    ReplyDelete
  4. Tueombe iwe tu ni kwa sababu nyingine za kimawasiliano na kwamba yupo salama salimini.
    Mungu ibariki Tanzania na watu wake!

    ReplyDelete
  5. Kwakuwa huyo ni Mtanzania wa 2 ambao wamepotelea hapo Kenya, inabidi Serikali ichukue hatua za makusudi ikiwa na pamoja na kusitisha ushiriki wa Watanzania kwenye mikutano, warsha nk itakayofanyikiwa Kenya mpaka ukweli ufahamike kuhusu suala hili.

    ReplyDelete
  6. Kweli kabisa mdau wa kwanza kwa ulichosema. Juzi Jerry alimiss hivyo hivyo akapatikana amekufa, leo huyo the same topic what happen? wanaomiss ni watanzania tu na sio wakenya. Hicho ni kitendawili kabisa. Wamekuwa wanatuweka matatani tuogope kwenda Kenya sasa. Mungu utusaidie apatikane akiwa hai. Kenya wanatudharau sana watanzania kisa kiingereza wanachokifahamu na kuona kama sisi hatuna elimu wala uelewa. Nani alikwambia kwa njia ya Kiingereza utaingia Mbinguni? Mungu utuokoe na mtego huu.

    ReplyDelete


  7. Jamani kila kitu wakenya ebu thnk twice wewe mjinga ukiweza rudi shule kwanza wakenya hawana muda mchafu kama watanzania wa kufanya ujinga

    at the moment ther have been soo many reports in kenya of people gone missing and only to find them dead sio watanzania peke yake hata wakenya nao wanalia kilio kimoja na bado goverment of kenya haija elewa what is going on

    ReplyDelete
  8. Visa vya uhalifu Kenya vimeongezeka kwa wakazi wote sio watanzania peke yao.

    ReplyDelete
  9. Eti wakenya hawana muda mchafu wa kufanya vitu vichafu kama wa tz..hivi hamuwezi kufikisha hoja bila kutukana na kukashifu....and look who is talkin,wakenya hawana muda mchafu wa kufanya vitu vichafu...mngekuwa ICC leo? Uchafu unafanyika kila mahali....neither kenyans nor Tanzanians are exception....ukumbuke pia wakenya mna sifa ya ubinafsi na ukabila....so dont say bull sheet hapa.....tulitka tu kuelimishwa kama haya matukio yanawapata watz pekee huko Kenya au vp...

    ReplyDelete
  10. Good news. Dr. Mailck Found alive admitted at Kenyata Hospital with serious unconscious and has eye damage with internal bleeding. He was attacked with unknown person(s)

    ReplyDelete
  11. We mdau wa sita, uliyesema wakenya hawana ujinga kama wa tanzania. Umeshindwa kukoment na hivyo umekurupuka. Daima ukweli unauma na hivyo ndivyo ilivyo. Mbona kama hamna ujinga kwa nini mnakimbia nchi yenu kwa vita na njaa? imarisheni nchi yenu kwa kurekebisha hayo. Mmejazana nchi za watu kwenu kuna nini? ok, Mungu atusamehe daima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...