Mzee mzima Luciano Pavarotti alipopanda jukwaani na  Tracy Chapman kuimba 'Baby Can I Hold You tonight' ilikuwa balaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ANKAL leo nilitegemea utatutoa na "VES" Dance,maana umeipamba sana hiyo Sri Lanka kwa siku mbili tatu hivi zilizopita.Ni matumaini yangu utarudi nyumbani salama baada ya hizo heka heka za Colombo.Wanalima zao la chai sana hawa?Take care of yourself&others!

    David V

    ReplyDelete
  2. Enough is enough ankal. Tumeshachoka, sasa hebu tuletee na ngoma usizozipenda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...