Waziri Mkuu alieyejiuzulu ambae pia ni Mbunge wa Monduli CCM,Edward Lowasa,(kshoto) wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,Alex Msama, walipokutana nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma,mara baada ya kuahirishwa kwa kipindi cha maswali na majibu.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera uratibu na bunge,William
Lukuvi(kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama
Promotions,Alex Msama(kulia) walipokuwa wakizungumza jambo.
Mbunge
wa Msalala,CCM,Ezekiel Maige,(katikati) wakibadilishana mawazo kuhusu
changamoto mbalimbali za kisiasa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama
Promotions,Alex Msama walipokutana kwenye viwanja vya bunge mjini
Dodoma,(kushoto) ni Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila.
Waziri
wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka(kushoto)
akifurahia kukutana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,Alex
Msama,nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma,, (katikati)ni Naibu Waziri wa wizara hiyo
Gudluck Ole Medeye.
PICHA MBALIMABALI ZA ALEX MSAMA
ReplyDeletesesophy
Ni kweli kabisa anonymous 1 ni za Msama tu, kiswahili kigumu au basi tu?
ReplyDeleteMichuzi alijua hilo, ingekua vizuri kama angeeleza jinsi anonymous 1 alivyo-make clear!!
ReplyDeleteyaani siku hizi kuna lobbists huko bungeni. watu wakiona biashara zao haziendi ndio wanaingia bungeni?
ReplyDelete