Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013.PICHA NA IKULU
Hiyo suruali aliyovaa Kenyatta ni ya njano au ?
ReplyDeleteAmani tayari majirani
ReplyDeleteAmuulize kunani kwenye mikutano yao ya kivyaovyao....!!!!!!
ReplyDeleteWezio ukikutana nao wanakua kama watu ukiachana nao wanageuka chatu,ningependa umwambie kuanzia leo naweka sheria mpya ya ww na wananchi wako,mkitaka kuingiza biashara zenu kwetu mfuate hiyo sheria mpya mtakayo isikia kwenye vyombo vya habari,,napia msako wa toa wakenya kwenye mahoteli yetu au kwenye makampuni yetu uko njiani waja na utasimamiwa na jeshi la wananchi yaani JWTZ. Kwa leo ni hayo tu au unasemaje? Na ile akifika kwake tu neno la kwanza litakua MTUUUUUMEEEEE TUMEKWISHAAA,,naitwa mdudu kakakuona
ReplyDeleteAmuulize kunani kwenye mikutano yao ya kivyaovyao....!!!!!!
ReplyDeleteMhe. JK nitafurahi kama amemwambia Kenyatta suala la Coalition of the Willing kuwa ni utengano kwenye Jumuiya jambo ambalo halina busara kuendeleza. Hivyo turudi mezani kujadili masuala ya yanayotuunganisha na sio kujitenga haita saidia nchi wanachama.
ReplyDeleteHuyo Uhuru asituburuze ktk kesi yake na ICC.
ReplyDeleteThanks lord viongozi wetu wamesha anza kumshtukia.
Anachosema silo alilo kusudia kutenda.
wala usimbembeleze kumuuliza upuuzi wao na Kagame.
ReplyDeleteHahahahaha Mdau wa Kwanza HAYO NI YALE YALE MAMBO YA 'KACHUMBARI'
ReplyDeleteUvaaji huo kwa Tanzania yetu wanavaa Makundi ya Komedi.
Mwanawane watani zetu wa Jadi Kenya Licha ya kuwa Wasomi wazuri wa Kiingereza bora cha kujitahidi kidogo kwao mavazi hawajui kuyapanga!!!
Mhe. Raisi Kikwete:
ReplyDeleteEpuka sana Undugu wa Kinafiki popote uwapo, licha ya kuwa mpo Ugenini huko Kusini.
WAO 'Coalition of the willing' KAMA WAMESHA MWAGA MBOGA HAPA AFRIKA YA MASHARIKI SISI TANZANIA tutamwaga UGALI !
Fanya kitu kimoja muhimu, huko huko ukiwa Kusini weka mazingira ya (i)CET-Common Exeternal Tariff (ii)FTA-Free Trade Area na nchi za Kusini South Africa,Namibia,Zimbabwe ambazo ni SADC na Msumbiji na Zambia mbazo ni SADC pia zipo COMESA halafu AINA YA BIDHAA KAMA TUNAZOAGIZA KENYA ZOTOKEE KUSINI KWA KUPUNGUZA MASHARITI NA KUWASHUSHIA USHURU ILI BEI ZISHUKE ZA BIDHAA HIZO (AMBAZO NI ZA KIWANGO CHA JUU KWA UBORA KULIKO ZA KENYA) ZIWEZE KUINGIA NA KUFURIKA TANZANIA ZIKIWA CHINI YA BEI ZA BIDHAA ZA AINA HIYO ZINAZOTOKEA NCHINI KENYA.
Nadhani kwa hatua hiyo huyo unayekaa naye hapo kwa Maongezi ataondoka kwake IKULU KWAKE-NAIROBI NA KUJA IKULU KWAKO KIKWETE MAGOGONI DAR KUKUPA SHIKAMOO!!!
Hawa akina K3 na the Coalition of Willing yao wameshaanza kutapa tapa!
ReplyDeleteKwanza Miradi yao ya Miundo mbinu imesha watoa kamasi.
Gharama ni US$ 13 Bil. wakati Kenya inatakiwa kutoa US$ 7 Bil. huku ikiwa na deni la ndani kama Bajeti yake 2013/13 ambalo ni US$ 20 Bil. wakati Rwanda na Uganda wanatakiwa kulipa US$ 6 Bil. ambazo ni sawa na mara 2 ya Bajeti zao kwa mwaka huu.
MIRADI HAITEKELEZEKI,
NI WAZI WAMESHA KWAMA!
Uhru Kenyatta wale wenzako ulio kuwa noa kwenye Kuni la K3 sio kabisa chomoka kabla mambo hayajakuwa mabaya kwako.
ReplyDeleteWewe umgeni ktk Kiti cha Uraisi hata mwaka mmoja hujafikisha tokea uingie Ofisini.
Yule wa Kampala anakaribia mwaka wa 30 akiwa Madarakani miaka 27 sasa tokea mwaka 1986 huku akiwa maesha haribu sana hadi kukatiwa Misaada.
Yule mrefu wa Kigali, nyota yake imesha fifia ni kuwa ile ATM yake ama Akaunti ya bahati iliyokuwa inamwingizia Dola za Madini ya Kongo-DRC Kundi la M-23 Vita wameshindwa na Majeshi ya Serikali na UN-Tanzania BRIGADE, hivyo Brother Big wako Paul mambo yamesha mwendea kombo sasa huku akiwa amesha tawala kwa Kiganja cha chuma kwa miaka Miaka 20 karibuni tokea mwaka 1994.
Hivyo Uhuru soma alama za Nyakati haraka na uachane nao wale Fungu la Kukosa, KWA HAYANISEMAYO HAPA NAAMINI UTAKUJA KUNITAFUTA MSEMA WAZI NILIYEPO TANZANIA!
UNAFIKI
ReplyDeleteWewe m-TZ, nilikunja kwako hapo Ikulu tupinge soga. Nilijua kuwa mimi nitakuwa Rais wa Inji ya Njongoo; nikamtuma Ruto wagu hapo kwako Seregeti Lodge....lakini wapi, Bwana!
ReplyDeleteBado wananisoga soga na kunifuatilia fuatilia huko ICC!
Are you colour blind? Suruali ni rangi ya dhahabu!
ReplyDeleteHivi JK hana shati linguine maana alilivaa akiwa Njombe au mashati mengi ya rangi hiyo?
ReplyDeleteleo october 5????!!!!
ReplyDeleteAmkumbushe kuhusu jumuia yetu kwani naamini anaburuzwa na wale wahima
ReplyDeleteKenyatta: Sasa JK ni aje mbona hupatikani??
ReplyDeleteJK: Aaah mm nipo tu sina wasi kabisa na huo muungano wenu.
Kenyatta: sasa ndo kusema
JK: shauri yako hao watu waangalie sana si watu wazuri mbona mie nilikua nao Monduli kwenye chuo cha Jeshi, nawajua sana hao ndumilakuwili.
Kenyatta:ok
JK: hawakawii kukugeuka hao waangalie sana ,kingine ww unafaidika nao nn??soko??mbona sie ndo soko lako kubwa??vinchi vyenyewe vina watu wangapi?
Kenyatta:pouwa nimekupata
JK:mkikutana tena wasalimie waulize vipi muziki wa bunagana/mbuzi/goma???
byee.
mdau wa UK
Cha msingi ni sisi Tanzania na Watanzania tujue hatuna majirani, unafiki mtupu. Leo wameanzisha one single visa halafu wanasema Tz kama wanataka wataingia mlango haujafungwa, hivi inaingia akilini watu wakutenge wajadiliane wenyewe na waamue, halafu waseme wakitaka watakuja, kama walitutaka tungejadiliana ni wapi hatukubaliani sio kututenga. Mie nadhani mwenye macho haambiwi tazama, tumeona picha hatutakiwi kwenye jumuiya bora tuachane nao, kama ilivyonjika 1977 sio ajabu ikavunjika tena, tuachane na unafiki wa wenzetu kama huo wa kumtembelea Rais wetu, mbona hakumtembelea kabla hajakubaliana na wenzie kuhusu mambo mbalimbali ya jumuiya?
ReplyDeleteMwisho wa Ubaya aibu!
ReplyDeleteWamekaa na Vikao vya Kinafiki akina K3 na leo uso kwa uso anakutana na wanayemtenga!
Ndio kama iwavyo maishani mwetu unaweza kumfanyia mtu ubaya halafu mkakutana kwenye shughuli ya Kiukoo ama Kindugu ukajikuta unaaibika,,,ndio uso wa Uhuru K. hapo!!!
Mhe. Raisi Kiwete,
ReplyDeleteUA KENGE KABISA KABISA HUKO AFRIKA KUSINI KWA MAWAZO YA Mdau wa hapo juu Bidhaa zitoke kusini kwa mipango hiyo ya CET, na FTA na nchi hizo.
Huu ndio muda wa kuimwaga Kenya kuwa kianzo cha bidhaa za matumizi yetu, maana anatuburuza na kutaka tuwasujudie!, na haiwezekani kwa hilo.
Aibu kubwa imewapata, hadi mshirka wake Uhuru Kenyatta Paul Kagame kwa aibu ameshindwa kuhudhuria Kikao cha ICGLR na SADC huko Pretoria ,South Africa!
ReplyDeleteNi vile Majeshi yake ya Msituni M-23 yamechapwa vibaya sana na UN-TANZANIA BRIGADE huko Congo-DRC.
Uhuru Kenyatta na wenzeke wa Cow, 'Coaliion of willing' akina K3 ni lazima waakubali Majaribu na kukubali UKWELI ya kuwa TANZANIA NDIO BOSS WA UCHUMI NA MAENDELEO KUANZIA SASA!!!
ReplyDeleteNARUDIA TENA:
ReplyDeleteMhe. Raisi Kikwete,
Usimuamini lolote asemalo huyo jamaa ni mwana Mtandao wa 'Coalition of willing-CoW' amekuja hapo kukutega.
UA KENGE KABISA KABISA HUKO AFRIKA KUSINI KWA MAWAZO YA Mdau wa hapo juu Bidhaa zitoke kusini kwa mipango hiyo ya CET, na FTA na nchi hizo.
Huu ndio muda wa kuimwaga Kenya kuwa kianzo cha bidhaa za matumizi yetu, maana anatuburuza na kutaka tuwasujudie!, na haiwezekani kwa hilo.
Uhuru Kenyatta:
ReplyDeleteAlicho nacho nafsini mwake (ukiachilia tabasamu la usoni la kulazimisha analotoa hapo) ni walicho nacho watu wake na wenzake Uganda na Rwanda.
Nimeamini ya kuwa Wa-Kenya,Wa-Ganda na Wanyarwanda (i)wanatudharau, (ii)wanatuchukia na kutuonea wivu sisi wa-Tanzania.
Leo nimekaa na Mtanzania mmoja ambaye amesafiri sana na kukutana na ndugu zetu hawa wa mashaka huko nje ya nchi Ughaibuni.
Jamaa maesema aliwahi kuonana na Mkenya mmoja ambaye alimwambia wazi ya kuwa anawachukia WATANZANIA!!!, jamaa akamuuliza ni kwa nini? yule Mkenya akajibu basi tu nawachukia!
Sasa Wadau hapo vipi?,
Huo ndio uso na moyo wa Raisi wao hapo huyo Uhuru Kenyatta!!!
Uhuru Kenyatta na wenzako:
ReplyDeleteMwenyezi Mungu ameshapanga hivi,
1.Yule yeyote umshushaye kwa kumdharau yeye Mwenyezi atamwinua!
2.Yule yeyote umwoneaye wivu yeye Mwenyezi atampatia !
3.Yuel yeyote umchukiaye, mwenyezi atazidi kumpa na kumlinda!
Wewe pia Paul Kagame na Yoweri Museveni itawagharimu sana mbele ya Jakaya Kikwete na Tanzania!!!
NI MUDA MUAFAKA WA KUKUBALI YA KUWA KIKWETE NI BOSS WENU NA TANZANIA IMEBARIKIWA NA MUNGU,,,HAMWEZI KUZIBA MAJALIWA YA MWENYEZI MUNGU KWA RAISI WA TANZANIA JAKAYA KIKWETE, WATANZANIA NA TANZANIA YAO KWA KUTUMIA UNGO!!!