Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi, marehemu Dr. Sengondo Mvungi huko Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi.(picha na Freddy Maro)




Mm naona tuje na tokomeza Mapanga kwenye matown yetu coz sioni sababu ya mtu kua na mapanga matown,mapanga vijijini sawa coz wanakatia miti,ni mm ndugu yenu the mdudu K, niliekatazwa kusema nilipo,
ReplyDeleteNapendekeza adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watuhumiwa wa makosa ya mauaji, watakaokamatwa na pembe za ndovu, na wanaokamatwa na dawa kulevya. wanyongwe hadharani mpk kufa mara pindi wanapopatikana na hatia. Tumechoka na haya majanga jamani
ReplyDeletehuzuni nyingi au huzuni mwingi? Mola amlaze mahala pema peponi Dr. Mvungi.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amrehemu na pia poleni sana familia. Natumai sheria itachukua mkondo wake kwa wote waliohusika kumjeruhi vibaya kwa mapanga na kumsababishia kifo Dr Mvungi.
ReplyDelete