Rais wa Taasisi ya Wahandisi wa Umeme na Elektroniki Duniani (IEEE), Dkt. Roberto de
Marca akitoa mada kwa wanachama wapya wa taasisi hiyo ambao ni wanafunzi wanaochukua
taaluma ya uhandisi toka vyuo vikuu mbalimbali nchini mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Rais
wa taasisi hiyo tawi la Tanzania, Dkt.Zaipuna Yonah.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...