Waziri wa Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe akihutubia katika sherehe za miaka 25 ya ushirikiano kati ya kampuni ya Superdoll - Tanzania na Kampuni ya utengenezaji vifaa vya matrela ya Ujerumani (BPW). Walioketi kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya BPW Afrika Kusini Mr. Andre Cilliers, anefuatia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Superdoll Bw. Seif Ali Seif, kushoto kwa kwake ni Kaimu Balozi wa Ujerumani Bw. Hans Koeppel, na kushoto kwake ni Mwakilishi wa Kampuni ya BPW kutoka Ujerumani Bw. Joseph Furstenberg.
Mkurugenzi Mkuu wa Superdoll,Bw. Seif Ali Seif (kushoto) akifafanua jambo kwa mgeni rasmi Waziri wa Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe alipokuwa akitembelea kiwanda cha kutengeneza matrela cha Superdoll.picha na Chris Mfinanga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...