Majaji
wa Shindano la Redd's Uni Fashion Bash wakiongozwa na Jaji Mkuu,Asia
Idarous wakiwa makini kabisa kutazama washiriki wa shindano hilo
lilifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa kijiji cha makumbusho na
kushirikisha vyuo kumi na mbili vya jiji la dar es salaam.
Washiririki
waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya ubunifu kwenye shindano la
Redd's Uni Fashion Bash lilifanyika katika ukumbi wa kijiji cha
makumbusho na kushirikisha vyuo kumi na mbili vya jiji la dar es salaam
wakijipongeza kwa pamoja.
Mmoja wa Wamamitindo akipita jukwaani.
Washiririki waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya upande wa mitindo kwenye shindano la Redd's Uni Fashion Bash.
Warembo
mbalimbali wakiongozwa na Redd's Miss Tanzania 2013,Happiness
Watimanywa (wa pili kulia) wakifuatilia shindano la Redd's Uni Fashion
Bash lilifanyika katika ukumbi wa kijiji cha makumbusho jijini Dar es
salaam mwishoni mwa wiki.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...