Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. KUMBE SUMATRA BADO IPO! SASA MBONA IMETELEKEZA USIMAMIZI WA DALADALA JIJINI DAR ES SALAAM? HIVI SASA MADEREVA NA MAKONDAKITA WA DALADALA HAWAVAI SARE NA WANAOVAA HAZIELEWEKI PIA DALADALA NYINGI HUFANAYA SAFARI KWENYE NJIA TOFAUTI NA WALIZOSAJILIWA, VITUO VYA DALADALA VIMEVAMIWA NA MAGARI YASIYOHUSIKA KWA KUEGESHA MAGARI NA VINGINE KUTUMIWA KAMA KARAKANA KWA KIFUPI USAFIRI UMEKUWA NI WA VURUGU KUBWA SANA KULIKO WAKATI WOWOTE ULE.

    ReplyDelete
  2. Jibu ni kwamba wamelala, mdau hapo juu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...