Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. VIPI KUHUSU MASHABIKI WA SIMBA WALIOVUNJA VITI UWANJA WA TAIFA?

    ReplyDelete
  2. Hao Mashabiki walipe vidiaa viti vipya viwekwe kisha wachukuliwe hatua ikiwezekana wafungwe jela miezi kadhaa na iwe fundisho kkwe wengine waache kuharibu mali za umma kwa hasira zisizokuwa na maana. Wajue kuwa goli la kusawazisha dakika za mwisho tena la penalt huwa linauma, lakini ndio mchezo ulivyo, defender akicheza kizembe kwa kucheza rafu eneo la hatari refa hana budi kutoa adhabu hata kama zimebaki sekunde 30.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...