Familia ya marehemu Japhet Yatera wa Tabata Kinyerezi Dar es salaam inasikitika kuikie tangaza kifo cha mama yao mpenzi Bibi Yusta Japhet Yatera (pichanbi), kilichotokea leo tarehe 13/11/2013 ghafla nyumbani Tabata Kinyerezi.Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Tabata Kinyerezi Dar es salaam Habari ziwafikie ndugu wote, jamaa na marafiki.
Bwana ametoa, na Bwana ametwaa
Jina lake lihimidiwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Poleni wafiwa.mungu awape nguvu.mi nilimwita aunt. Poleni sana ndugu zangu..

    ReplyDelete
  2. Poleni wafiwa mimi alikuwa dada yangu,na tulikuwa tunafanya kazi pamoja,na wateja wengi walikuwa wananifananisha naye,kwa kweli inauma sana lakini yote ni mapenzi ya Mungu,Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu

    ReplyDelete
  3. Pole sana Enid kwa kumpoteza mama

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...