Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi Seattle Nd. Yona Isimika kwenye tafrija aliyoandaliwa na Ujumbe wake Mjini Seattle. Kati kati yao ni Meneja Mkuu wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited { PBZ } Juma Amour Mohammed.
Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wana kamati ya maandalizi ya Tafrika aliyoandaliwa yeye na ujumbe wake ya Jumuiya ya Watanzania waishio Seattle. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...