NILIPOKUWA katika ziara ya bara la Ulaya kati ya Oktoba 21 mpaka Novemba 2 mwaka huu (2013), nilipokea kwa njia ya barua pepe ripoti inayoitwa "Taarifa ya Siri ya Chadema" ambayo pia ilikuwa imesambazwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Taarifa ya Chadema inasema kwamba chama hicho (chama changu) kilikuwa kimechunguza mwenendo wangu tangu mwaka 2008 hadi 2010 na kubaini kuwa mimi napokea fedha kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuivuruga Chadema.
Ripoti hiyo ilinihusisha pia na mwananchi raia wa Ujerumani, Andrea Cordes ambaye, kwa mujibu wa ripoti hiyo, alinisaidia kupokea na kuhifadhi kiasi cha dola 250,000 za Marekani kupitia kwenye akaunti yake binafsi.
Taarifa hii ya kutunga na iliyojaa uongo wa kiwango cha kutisha, imenifadhaisha, kunisikitisha na kunikasirisha.
Taarifa hii iliibuliwa katika kipindi ambacho nilikuwa safarini kutetea haki za Watanzania na Waafrika ambao utajiri wao wa rasilimali unafaidiwa na watu wachache waliohifadhi mali katika nje za nje na pia kupigania makampuni ya mataifa tajiri yalipe kodi stahiki katika nchi zetu.
Zitto Zuberi Kabwe wewe ni jembe letu.Jinsi unavyojitoa kuwatetea watanzania kwa moyo wa kweli tunatarajia serikali haitakaa kimya bali itasaidia kuwakamata wanaotishia uhai wako kwani we ni muhimu sana sana kwa taifa letu
ReplyDeleteWe zitto umepotea kozi kwenda huko Chadema,hamia CCM na mwaka 2015 tutakusimamisha ww ili tushinde kwa kishindo,tunaomba serikali impatie ulinzi makali kuanzia leo,,coz hatutaki yamkute kama yalio mkuta Dada yetu mpendwa na mpigania haki za watanzania RIP,
ReplyDeletemfumoo
ReplyDeleteTunakwenda wapi watanzania sanaa hata kwenye sensitive issue makundi yataipeleka chadema korongoni
ReplyDelete# TeamZitto
ReplyDeleteZitto brother, come up with data, sio tu kusema umechafuliwa! Jibu hoja moja baada ya nyinginye! Kumbuka hata ulivyoibua ishu ya mabilioni ya uswisi, watu walisema unawachafua! Sasa prove kwamba ni kweli unachafuliwa with tangible facts!
ReplyDeleteKama imefikia hatua ya Makundi basi -CHADEMA kinachungulia kaburi!!
ReplyDeleteBro Zitto, wataje hao wenye mabillion nje ya nchi. Ukiwataja Bungeni utakuwa na kinga, unaogopa nini kama wao wanajua wewew una majina yao.
ReplyDeleteBe very careful bro, u a dealing with people with $$$$$, enough to run the country for 10 years, haya mafisadi ni matajiri, hawajali sisi tuna dawa au vipie, they are selfish bourgeouses walioingia politics ili kula nchi.
Pole sana and I hope you succeed.
We love you and God loves you
iko kazi, be careful kijana, watakumaliza kama Tom Mboya, I am just warning you. These people are so powerful and untouchable. They are big as they control the govt machinery.
ReplyDeleteItikadi ya Kichagga ya Chadema haina tofauti na Itikadi ya Kitusi ya Chama cha RPF cha Rwanda!
ReplyDeleteHizo ni dalili za kusukiwa zengwe ili wakutoe ama wakufukuze huko Chadema.
ReplyDeleteNdugu yetu Zitto Kabwe,
ReplyDeleteTulisha kutahadharisha ya kuwa CDM ni Chama chenye Itikadi mbaya sana ya Ukabila!
Kwani hujijui ya kuwa wewe sio Mchagga?
Kuwa makini na nyendo zako baada ya dalili hizo, tambua wabaya wako wapo humo humo ktk CDM.
ReplyDeleteHiyo ndio pangua pangua ya Wachagga ndani ya Chadema kuelekea 2015 kuhakikisha wengine wanachafuliwa ili MGOMBEA URAISI WA CHADEMA AWE MCHAGGA!
ReplyDeleteWachangiaji wote ni buku 7.makalai mavitu chakaa ya ufundi michuzi tem.
ReplyDeletePole Mheshimiwa,ipo kazi kudumisha demokrasia ya ukweli kwenye chama ulicho. Most things are done behind closed doors my friend.
ReplyDeleteNi aibu na ajabu jinsi vyama vyetu vikuu vya siasa vinavyoelekea kushindwa kukidhi mahitaji ya Watanzania kwa kuchanganya wasiyochanganyika ndani ya chama kimoja tena katika nyadhifa kubwa- waadilifu na mafisadi, selfish na selfless, patriotic na unpatriotic, compassionate and harsh, wataifa na wakabila, Kabwe na Lema, Mwakyembe na Lowassa ndani ya chama kimoja. Sasa where is the choice between parties kama vyama vinakuwa na viongozi wenye contradictory characters and ideals humo humo? Parties combining things as different as chalk and cheese within them!
ReplyDeleteWe must have independent candidates at all levels of public office, ili kama vyama vyetu vikishindwa kutuletea candidate aliyepatikana kwa merit(mwema, muadilifu, mzalendo, selfless nk) basi tuwe na.fursa ya luwaangali wagombea wa kujitegemea. Dalili zilizopo ni kupata mgombea wa urais fisadi kutoka chama kimoja kwa misingi ya pesa, kupata mgombea mwingine kwa sababu ya sehemu anayotoka na siyo uwezo wa kufikiri au kuongoza kutoka chama kingine na kupata wagombea wachovu na wadini kutoka chama cha tatu. Kweli, is this what Tanzanians deserve? Kweli lazima kung'angania independent candidates kwenye katiba yetu ili kuongeza uwezekano wa kupata kiongozi mzuri wa kweli. Ni rahisi mno kwa vyama kuhodhiwa na watu wachache na vikatupa the worst possible candidates from their ranks.
Nishida!
ReplyDeleteHao mafisadi walioficha mabillion uswiss watatajwa tu mda muafaka ukifika hili JEMBE naliaminia, anajua anachokifanya na hatari iliyo mzunguka.
ReplyDeleteMmejenga chama kwa muda na nguvu kubwa, msiache zipotee bure tafadhali!
ReplyDelete