Home
Unlabelled
Tangazo La Mjadala: IDHAA YA KISWAHILI YA BBC INAKUKARIBISHA KWENYE MJADALA MAALUM KWA JAMII AFRIKA MASHARIKI...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huko Uingereza mpo ugenini, msitegemee makubwa na ukarimu kufanyiwa kwa kuwa wenyewe Ulaya wameyumba sana Kiuchumi.
ReplyDeleteNi muhimum muelewe ya kuwa ukarimu wa mtu huyeyuka anapokuwa na hali mbaya Kiuchumi.
Hivi hamfuatilii masuala ya Dunia hasa Kiuchumi yanavyo kwenda?
Ukuzaji wa Maendeleo ya Kiuchumi (Economic growth rate) ktk Dunia Viwango vya juu vipo Afrika ya Mashariki ambayo ipo juu ya wastani wa Dunia ambao ni 5% na Tanzania ina mwaka huu 6.9% na mwakani inatarajiwa kuwa 7.1% !
Ulaya Ujerumani inaongioza kwa kuwa na growth rate ya 2.6% ambayo kwa Dunia ipo chini ya Wastani wa Ukuzaji.
Wakati Marekani ipo kati ya 0.5% na 1.5% !
Kama mnavyoona Matajiri Wakubwa Amerika na Ulaya (huko mlipo ninyi) kwa matokeo hayo wanahamishia Mitaji yao ktk maeneo ya dunia yenye kasi ya juu ya kukua kiuchumi ikiwemo Africa, ili waweze kuvuna Faida.
Sasa kama mnavyojua Sera za nje za hao watu zinategemea na Uchumi na hali halisi ilivyo, mtetegemea kuwpewa Kipaumbele hapo?
Ni lazima wakate baadhi ya Mafao na Kubana Mashariti ya ninyi kukaa huko ili mrudi kwenu na kuwapa wao tahfifu ya kuendesha mambo yao.
Hadi sasa wao wanawashangaa ninyi mnangoja nini huko kwao?, now is Africa time!!!
Msipoteze muda kwa mjadala mnao andaa huko UK tazameni hiyo 'Economic analysis' hapo juu, fanyeni maamuzi yenye msomamo na kujiaminifunge virago mrudi nyumbani Afrika !!!
Madiaspora wa Kiafrika Uingereza na Ulaya mnacheza?
ReplyDeleteYaani David Cameron (Waziri Mkuu UK) na Jose Manuel Barroso (Raisi wa Umoja wa Ulaya) waache kutenga Fedha na kutoa nafasi na kuhudumia Mataahira wao na Mateja wao waje kukupeni Huduma ninyi Wageni?
Mdau wa kwanza:
ReplyDeleteKwa bahato mbaya sana wengi analysis za Kiuchumi huwa hawafuatilii na pia wapo wengi ukimweleza kitu kama GROWTH atakushangaa !
Kwa kuwa wengi umimweleza ya kuwa nchi ime post Growth wanashindwa kuelewa 'Economic growth' ipo vipina wengi hupenda kulinganisha moja kwa moja hiyo GROWTH na hali halisi iliyopo kitu ambacho sio sahihi.
Tukumbuke ya kuwa pana aina mbili za Uchumi Wealth of Nations and Wealth of citizens (Macroeconomy and Microeconomy),,,HIVYO KUIMARIKA UCHUMI WA NCHI HAI TRANSLATE MOJA KWA MOJA YA KUWA WANANCHI WAMEIMARIKAKIHALI.
KWA KUWA PANA DARAJA AMBALO LINAWEZA KUWAUNGANISHA HAO WATU NA JUMUIYA YAANI 'POLICIES' AND 'MULTIPLIER EFFECT' Kwa kuwa Sera zinatakiwa kuwafikishia watu kilichopo ama watu wanatakiwa kilichopo kiwafikie kupitia Mabadilishano ama kujishughulisha kwa njia ya 'Multiplier effect' .
Hivyo ni wazi Ukihiyo wa ndugu zetu kushindwa kuelewa Uchumi kunawafanya kuwa wamedumaa Kiakili kuamini ya kuwa mambo ymebadilika na sasa Wenyeji wanapumulia mashine Kiuchumi.
Kutokanana kupumulia Mashine Kiuchumi na wao inabidi wawabane Wageni Kisheria ili waweze kuwahudumia watu wao kwanza.
Ndugu zetu wamebaki kuwa bussy kwa Ubebaji wa Mabox tu kila uchao huko Majuu wakiwa hawafuatilii hali halisi ilivyo huko.
Hahahahaha !!!!
ReplyDeleteMdau wa No.1 na No.3 mnanivunja mbavu zangu!
Mimi naona Wakubwa wa nchi za Ulaya wanakutana na Viongozi wetu ambao wanajua wazi ya kuwa nchi zetu za AFRICA zina Utajiri.
Sasa ndio maana wanakuwa na msimamo huo mnaoona mnabanwa Mnaotaka kuujadili ndugu zetu huko Majuu.
Wazungu wamepinda, mtasitukizwa siku moja Mkakodishiwa Ndege mkadanganywa mnapelekwa kutoka Ulaya kwenda Marekani ama Marekani kwenda Ulaya mkajikuta ndege IMETUA MNAONA MINAZI MINGIII!, DUHH MARA MNAONA MABASI YA UDA NA MABASI YA DALADALA, DUHH MARA MNAONA MAGUTA (MABAISIKELI YA MAGURUDUMU MATATU NA MIKOKOTENI NJE YA UWANJA KWA MBALI YAKIPITA) LAHAULAAAA,,,ZAMANIII MMESHARUDISHWA BONGO KIUSANII MMESHATUA NDANI YA BONGO!
ReplyDelete