Dkt Kesi Mtambo anasikitika kutangaza kifo cha Mjukuuu wake Jeffa Othman Kessi Mtambo kilichotokea usiku huu. 

Mazishi yatafanyika leo Jumamosi Novemba 23, 2013 saa 7 Adhuhuri katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.

Msiba upo Mtaa wa Nyati nambaa 11 Kariakoo, Fire, hapa Dar es salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote walipo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. INNALLILLAH WA INNA ILLAH RAJEOON, BAKI ALLAH, POLENI WAFIWA WOOTE, INSHAALAH ALLAH AWAPE MOYO WA SUBRA. NA INSHAALAH ALLAH AMPE MARHUM JANNA YA MILELE AMIN AMIN AMIN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...