Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb), (kulia) akibadilishana mikataba na Bw. Soares mara baada ya shughuli ya uwekaji saini kukamilika. |
Mazungumzo yakiendelea huku ujumbe wa Tanzania uliokaa upande wa kulia na ujumbe wa Umoja wa Mataifa ukifuatilia mazungumzo hayo. |
Bw. Soares akisisitiza jambo huku Mhe. Membe akisikiliza kwa makini. wengine katika picha ni ujumbe wa Tanzania uliokaa upande wa kulia na ujumbe wa Umoja wa Mataifa uliokaa upande wa kushoto. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiagana na Bw. Soares mara baada ya shuguli ya uwekaji saini kukamilika |
Picha na Philip Kisaka
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...