Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) akipeana mkono na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakati akipokea Msaada wa Pikipiki 20 zilizotolewa kwa Kampuni ya Uchapishaji wa Magazeti ya Serikali (Tanzania Standard Newspapers),wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo nje ya Jengo la Golden Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki.

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakiwa wamepanda pikikipi hizo ikiwa ni ishara ya kuzizindua kwa ajili ya Matumizi.Katikati yao ni Mwenyekiti wa Bodi ya TSN,Prof. Moses Warioba.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akipanda kwenye moja ya pikipiki hizo.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akitoa hotuba yake wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing akizunzumza machache wakati wa hafla hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Waziri wetu, kwa kupendeza na hizo nywele Mungu alizotujalia, endeleza mapambano!

    ReplyDelete
  2. Hii misada itolewayo na hawa wenzetu akina mie.....mara nyingi mie hushindwa hata kuifurahia ..maana baada ya siku kadhaa usoni utasikia kontena limekamatwa.....sijui ndio tunabadirishana kiana...

    ReplyDelete
  3. Anony wa pili una akili finyu. Hivi watanzania walio katika magereza ya China wametumwa na Serikali ya Tanzania. By the way wengine wamekataa kurudishwa Tanzania kuja katika jela za huku wameamua kutumikia kifungo cha maisha china maana jela zao ni raha. Wacha ujinga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...