Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimkaribisha Kiongozi
wa msafara wa ujumbe kutoka Serikali za Mitaa za China, Makamu Gavana wa Jimbo la
Shandong, Xia Geng kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
jijini Dares Salaam. Ujumbe huo umehusisha magavana na wafanyabiashara kutoka nchini China
ambapo ulikutana na Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi. Lengo la mkutano huo ni kudumisha ushirikiano katika masuala ya biashara na
uchumi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kulia-meza kuu) akizungumza
jambo na Kiongozi wa msafara wa ujumbe kutoka Serikali za Mitaa za China, Makamu Gavana
wa Jimbo la Shandong Xia Geng (kushoto-meza) kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dares Salaam. Wa kwanza kushoto kwa Waziri Nchimbi
ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mwamini Malemi, anayefuata ni Mkuu wa Jeshi la
Polisi (IGP) Said Mwema na Mkuu wa Jeshi la Magereza, John Minja. Ujumbe huo umehusisha
magavana na wafanyabiashara kutoka nchini China ambapo ulikutana na Waziri Nchimbi
pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Lengo la mkutano huo ni
kudumisha ushirikiano katika masuala ya biashara na uchumi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kulia) akimkabidhi zawadi
Kiongozi wa msafara wa ujumbe kutoka Serikali za Mitaa za China, Makamu Gavana wa Jimbo
la Shandong Xia Geng kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, jijini Dares Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwamini Malemi. Viongozi hao walipeana zawadi ikiwa ni ishara ya kuonyesha ushirikiano kati
ya China na Tanzania. Ujumbe huo umehusisha magavana na wafanyabiashara kutoka nchini
China ambapo ulikutana na Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi. Lengo la mkutano huo ni kudumisha ushirikiano katika masuala ya biashara
na uchumi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...