Mkurugenzi Smile Tanzania na Uganda Fiona McGloin ( katikati) Kushoto Deo Ndejembi Mkuu wa Mauzo na Madaha Fancis Mkuu wa Mtandao (Kulia) wakizindua Smile 4G LTE broadband jijini Arusha
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe January Makamba akizindua Smile 4GLTE broadband kwenye tafrija ya jioni Arusha
Mhe. January Makamba kwenye uzinduzi ya Smile 4G LTE jijini Arusha akiwa na mkurugenzi wa Smile Tanzania na Uganda Fiona McGloin
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...