Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA),Adam Kimbisa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati wabunge hao wakitoa pongezi kwa Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba yake aliyoitoa Bungeni hivi karibuni. Kushoto ni Katibu wa Wabunge hao, Shy-Rose Bhanji.
Kimbisa akizungumza na wanahabari Ukumbi wa Idara ya habari Maelezo.


Kwa kweli Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Viongozi wenye msimamo:
ReplyDeletePia wee Mhe. Adam Kimbisa nilifurahia sana tamko lako ktk moja ya Vikao vyenu vya EALA pale ulipowaeleza Jirani zetu ya kuwa ''We Tanzania cannot integrate our land to be in EAC as Land remain to be serious affair of each State''
WANANCHI WA TANZANIA TUNA IMANI NA VIONGOZI WETU WOOOTE KUANZIA MHE. RAISI WETU HADI NINYI WEHESHIMIWA WABUNGE WETU!
Wabunge WANENE, waandishi wa habari VIMBAU MBAU, lakini msijali waandishi ninyi ndo wenye afya bora kulikoni wabunge.
ReplyDeleteSasa Kwani waandishi wa habari niwaheshimiwa pia?, Hakika ukiwa muheshimiwa Kuna service za nyongeza inazipata na maslahi mazuri pia tofauti na waandish ambao wao ni hard woker na waenda mbio....Much love to my pres...Kikwete...Mungu akubariki, Hakika wewe ni kiongozi Bora maana umefanya na tumeona ktk hali ya kusimamia Mali za Tanzania na kuitangaza Tanzania.
ReplyDeleteNyegezi oyeeee!
ReplyDeleteShy na Zama products za Mwalunyungu!