Wahitimu wa Shahada mbalimbali kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kutunukiwa shahada zao Mwisho mwa wiki katika mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika katika Viwanja vya Chimwaga.Kutoka Kushoto ni Mdau Isabela, Hashim, Hashim Mzule na Rafiki yao wakiwa na furaha mara baada ya kuhitimu masomo yao ya shahada ya kwanza
 Kutoka Kushoto ni Victor Mengi akiwa na rafiki yake (katikati) na Josephat Mwanaziche mara baada ya kutunukiwa shahada zao katika mahafali ya nne ya chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika mwishoni mwa wiki chuoni hapo
 Wahitimu wa shahada mbalimbali wakijipongeza mara baada ya kuhitimu rasmi safari yao ya masomo ya shahada za kwanza ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) mara baada ya kutunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki
 Happy Mengi (katikati) akifungua shampeni pamoja na wadogo zake waliohitimu masomo yao ya Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakati wa tafrija fupi ya kuwapongeza. Kutoka Kushoto ni Mariam na Wa Kwanza kulia ni Victor Mengi
Wahitimu wakikata Keki wakati wa tafrija fupi ya kuwapongeza wahitimu hao waliotunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki katika mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyofanyika katika viwanja vya chimwaga mkoani Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Deserved congratulations.....maana maamuzi ya kwenda shule nayo ni kati ya "maamuzi magumu" mtu anaweza kuyachukua....kwahiyo uvumilivu na kukubali kuzikabili changamoto zote mpaka mtu "anajifungua" degree.....
    siyo mchezo....Hongera sana!

    ReplyDelete
  2. Ukiona una shida ya kuamua juu ya elimu ujue wewe una uwezo mkubwa wa kuamua juu ya ujinga!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...