Viongozi wa Mpito wa Umoja huo wakiwa kwenye picha ya pamoja katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya (Nairobi), kutoka Kulia ni; Bi. Nasikiwa Berya (Mtoa Habari), Bw. Shemu Beldon (Mratibu), Bw. Glen Kapya (Mwenyekiti), Bw. Michael Urio (Makamu Mwenyekiti, mstari wa nyuma), Bw. Kapila Kavenuke (Muwakilishi), Mh. Innocent Shiyo (Balozi Daraja, Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya), Bw. Erasto Kamugisha (Katibu Mkuu) na Bw. Kanyopa Gastor (Mratibu). Umoja huu unaunganisha Watanzania wote walioko Nchini Kenya ambao ni Wanafunzi katika Vyuo Vikuu mbalimbali.
Bw. Glen Kapya (Mwenyekiti, Uongozi wa Mpito wa Umoja huo) akiendesha Kikao kilichokua kikijadili masuala na mikakati mbalimbali ya Umoja huo katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. jamani mbona wanaume watupu?
    Dada mmoja tu?

    It is not fair

    Msemakweli

    ReplyDelete
  2. Vijana ahsanteni sana!

    Na pia Pongezi sana kwa jitihada zenu kubwa sana na Ujasiri wenu huku mkiwa sambamba na Ubalozi wa Tanzania Nairobi.

    Mpo exceptional na Majasiri kuwepo nchini Kenya kwa kuwa Kipindi hiki ambapo huku nyumbani Mijadala ni Mizito sana juu ya suala la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki tukizingatia nchi hiyo mliyopo ndiyo husika ktk hili.

    MUNGU IBARIKI TANZANIA!

    ReplyDelete
  3. Asante sana jamani. Kwa kujibu hoja ya ndugu yangu hapo, wa Dada WaPo sana tu ten a tunashirikiana vizuri kabisa and WaPo very hard working kwakweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...